Join the thousands of Tor supporters building an internet powered by privacy. Make a donation today.
Through December 31, your gift will be matched 1:1, up to $300,000!
wasiliana na sisi moja kwa moja!
Pata maagizo ya kisasa kuhusu jinsi ya kukwepa udhibiti na kuunganisha kwa Tor kutoka Urusi kwenye mwongozo wetu wa jukwaa : Tor imezuiwa nchini Urusi - jinsi ya kukwepa udhibiti.
Ikiwa unahitaji msaada, wasiliana nasi kupitia Telegramu, WhatsApp, Signal, au kwa barua pepe [email protected]. Kwa maagizo ya kukwepa udhibiti, tumia "private bridge ru" kama mada ya barua pepe yako.