Join the thousands of Tor supporters building an internet powered by privacy. Make a donation today.
Through December 31, your gift will be matched 1:1, up to $300,000!
wasiliana na sisi moja kwa moja!
Tor ni programu unayoweza kuendesha katika kompyuta yako ambayo inakusaidia kuwa salama katika mtandao. Inakulinda kwa kuruka mawasiliano yako kuzunguka mitandao iliyotawanywa relays ambayo huendeshwa watu wakujitolea dunia kote: Inamzuia mtu anayeangalia mawasiliano yako kwa kusoma mtandao upi umetembelea, na inalinda mtandao uliotembelea kwa kusomwa eneo ulipo. Huu ni mpangilio wa relay za kujitolea unaitwa mtandao wa Tor. Mara nyingine programu inayohusiana na mtandao huu huitwa Core Tor, na muda mwingine "little-t tor". Njia kuu watu wanayotumia Tor na Tor Browser ni ile ambayo toleo la Firefox ambayo hubeba masuala mengi ya faragha.