mradi wa Tor unahifadhi hazin yake na RPM package kwa CentOS na RHEL na Fedora.

Taarifa Ishara ya # inahusu kuendesha nambari kama mtumiaji mkuu. Hii inamaanisha kuwa unapaswa kuwa na ufikiaji wa akaunti ya mtumiaji yenye mamlaka ya utawala wa mfumo, kwa mfano mtumiaji wako lazima awe kwenye kikundi cha sudo.

Hapa ndivyo unavyoweza kuwezesha Kuhifadhi Tor Pakiti kwa CentOS na RHEL na Fedora:

1. wezesha hifadhi ya epel (kwa ajili ya CentOs na RHEL pekee)

‪# dnf install epel-release -y

2. ongeza anuani ifuatayo kwa /etc/yum.repos.d/tor.repo

kwa CentOS au RHEL:

[tor]
name=Tor for Enterprise Linux $releasever - $basearch
baseurl=https://rpm.torproject.org/centos/$releasever/$basearch
enabled=1
gpgcheck=1
gpgkey=https://rpm.torproject.org/centos/public_gpg.key
cost=100

kwa fedora:

[tor]
name=Tor for Fedora $releasever - $basearch
baseurl=https://rpm.torproject.org/fedora/$releasever/$basearch
enabled=1
gpgcheck=1
gpgkey=https://rpm.torproject.org/fedora/public_gpg.key
cost=100

.sanikisha kifurushi cha Tor

hivyo unaweza kusanikisha kifurushi kipya cha Tor.

‪# dnf install tor -y

kwa kutumia kwa mara ya kwanza, unaweza kuingiza funguo ya jamii.

Importing GPG key 0x3621CD35:
Userid     : "Kushal Das (RPM Signing key) <[email protected]>"
Fingerprint: 999E C8E3 14BC 8D46 022D 6C7D E217 C30C 3621 CD35
From       : https://rpm.torproject.org/fedora/public_gpg.key
Is this ok [y/N]: y