Makini: Maagizo haya yanalenga kusakinisha tor daemoni ya mtandao k.m. little-t-tor. For instructions on installing Tor Browser, refer to Tor Browser user manual.

ufikiwaji wa msimamizi: Kusanikisha Tor unahitaji njia ya upendeleo. Below all commands that need to be run as root user like apt and dpkg are prepended with '#', while commands to be run as user with '$' resembling the standard prompt in a terminal.

Debian/Ubuntu

Usitumie kifurushi katika Ubuntu universe. Kipindi cha nyuma hazikusasishwa kwa uhakika. Hii ikimaanisha imepungukiwa na uimara na marekebisho ya usalama.

Sanikisha hazina ya kifurushi cha Tor

Wezesha hazina ya APT ya mradi wa Tor kwa kufuata maelezo.

Sasisha kifurushi

# apt install tor

Fedora

Sanikisha kifurushi cha saraka ya Tor

Wezesha hazina ya kifurushi cha RPM cha mradi wa Tor kwa kufuata maelezo.

Sasisha kifurushi

# dnf install tor

FreeBSD

Sasisha kifurushi

# pkg install tor

OpenBSD

Sasisha kifurushi

# pkg_add tor

macOS

Sanikisha kifurushi cha manager

Kuna visimamizi viwili vya vifurushi katika OS X: Homebrew na Macports. Unaweza kutumia usimamizi wa kifurushi kama chaguo lako.

Kusanikisha Homebrew fuata maelekezo brew.sh.

Kusanikisha Macports fuata maelekezo macports.org.

Sasisha kifurushi

Ikiwa unatumia Homebrew katika programu iliboreshwa, tumia:

# brew install tor

Ikiwa unatumia Macports katika programu iliyoboreshwa, tumia:

$ sudo port install tor

Arch Linux

Ili kusanikisha kifurushi cha tor kwenye Arch Linux, endesha:

# pacman -Syu tor

DragonFlyBSD

Bootstrap pkg

Picha na matoleo ya kila siku ya DragonFlyBSD (kuanzia na 3.4) huja na pkg tayari imesakinishwa. Maboresho kutoka kwa matoleo ya awali hata hivyo hayatakuwa nayo. Ikiwa pkg haipo kwenye mfumo kwa sababu yoyote ile inaweza kufungwa kwa haraka bila kuijenga kutoka kwa chanzo au hata kusakinisha DPorts:

# cd /usr
# make pkg-bootstrap
# rehash
# pkg-static install -y pkg
# rehash

Hatua zilizopendekezwa ili kusanidi pkg

Hapa, itakuwa sawa na ile tuliyo nayo kwenye mfumo wa FreeBSD, na tutatumia HTTPS kuleta vifurushi vyetu, na masasisho - kwa hivyo hapa tunahitaji kifurushi cha ziada ili kutusaidia (ca_root_nss ).

Kusakinisha kifurushi cha ca_root_nss:

# pkg install ca_root_nss

Kwa usakinishaji mpya faili ya /usr/local/etc/pkg/repos/df-latest.conf.sample inakiliwa hadi /usr/local/etc/pkg/repos/df-latest. Faili zinazoishia kwa kiendelezi cha ".sample" zimepuuzwa; pkg(8) husoma faili zinazoishia kwa ".conf" pekee na itasoma kadiri itakavyopata.

DragonflyBSD ina hazina ya vifurushi 2:

  • Avalon (mirror-master.dragonflybsd.org);
  • Wolfpond (pkg.wolfpond.org).

Tunaweza kwa urahisi kuhariri URLinayotumiwa kuashiria hazina kwenye /usr/local/etc/pkg/repos/df-latest na ndivyo hivyo! Kumbuka kutumia pkg+https:// kwa Avalon.

Baada ya kutekeleza mabadiliko haya yote, tunasasisha orodha ya vifurushi tena na kujaribu kuangalia ikiwa tayari kuna sasisho jipya la kutumia:

# pkg update -f
# pkg upgrade -y -f

Sasisha kifurushi

Sakinisha kifurushi cha tor:

# pkg install tor

NetBSD

Setup pkg_add

Matoleo ya kisasa ya mfumo wa uendeshaji wa NetBSD yanaweza kuwekwa ili kutumia pkgin ambayo ni kipande cha programu inayolenga kuwa kama apt au yum kwa ajili ya kudhibiti vifurushi vya binary ya pkgsrc. Hatugeuzi usanidi wake hapa na uchague kutumia pkg_add wazi badala yake.

# echo "PKG_PATH=https://cdn.netbsd.org/pub/pkgsrc/packages/NetBSD/$(uname -m)/$(uname -r)/All" > /etc/pkg_install.conf

Sasisha kifurushi

Sakinisha kifurushi cha tor NetBSD:

# pkg_add tor

VoidLinux

Kusakinisha kifurushi cha torkwa Void Linux, tafadhali endesha:

# xbps-install -S tor

Sanikisha Tor kutoka kwenye chanzo

Pakua toleo la sasa na vitegemezi

Toleo jipya lililotolewa na Tor linapatikana katika kurasa ya download.

Ikiwa unaunda kutoka katika vyanzo, Sanikisha kwanza libevent, na hakikisha una openssl na zlib (ikijumuisha kifurushi cha the -devel kikitumika).

Sasisha tor

tar -xzf tor-<version>.tar.gz; cd tor-<version>

Replace <version> with the latest version of tor, for example, tor-0.4.8.12

./configure && make

Sasa unaweza kutumia tor kama src/app/tor (0.4.3.x na toleo linalofuata), au unaweza kutumia Sanikisha (kama njia ikiwa ina umuhimu) sanikisha ndani ya /usr/local/, na baada ya hapo anzisha matumizi ya tor.